Home Music TAFADHALI UPDATE JohVentureApp Version 1.0.5

TAFADHALI UPDATE JohVentureApp Version 1.0.5

Tunapenda Kukutaarifa Kuwa Tumefanya Maboresho Katika Application Yetu (JohVenture App) hivyo inakupasa Ufanye Ku-Update au Ku-Download Upya JohVenture App

  JINSI YA Ku-Update/Ku-Download APP YA Joh Venture
>Ingia Playstore

>Katika BOX la kuSearch, andika neno Joh Venture

>Baada ya Hapo Bonyeza INSTALL/UPDATE

>Ikimaliza KuINSTALL/KuUPDATE Bonyeza OPEN kufungua APP Upate Burudani.

Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBOFYA HAPA

Previous articleVIDEO: Young Dee Ft. Abbah – Gari Yangu Remix
Next articleDOWNLOAD: Matonya Ft. Naiboi – Sio Fresh