Home News Poison na Nay wa Mitego ndani ya Manzese na Moro Town

Poison na Nay wa Mitego ndani ya Manzese na Moro Town

Poison na Nay wa Mitego ndani ya Manzese na Moro Town

Mwanamuziki mdogo kabisaa wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Poison, safari hii anakuja na ngoma yake mpya aliyoimba na Nay wa Mitego inayoitwa Manzese na Moro town.

Wimbo huo umetaarishwa na maproducer wawili tofauti kutoka kwanza record ya mjini Morogoro Vennt Skillz na MR.T wa Free Nation Records za ya jijini Dar Es Salaam.

Akiongea na blog hii mtayarishaji toka Kwanza Records Vennt amesema wameamua kufanya hivyo ili kureta ladha mbili tofauti za maproducer wawili, waimbaji wawili nastudio mbili za mikoa miwili tofauti. Wimbo huo unatazamiwa kutachiwa siku ya jumamosi ijayo katika radio zote ndani na nje ya Nchi.

Previous articleOfficial Video HD | Rai Classic Ft Becka Title – Lulu | Watch & Download
Next articleNew AUDIO | Abdu Kiba – Tototoo | Download