PAUL LOOPS NA BEATSTAPE YA KUWASAIDIA WASANII WACHANGA WA HIPHOP
ALSO READ;
hiphop beats mixtape kwa ajili ya kuwasupport wasanii wachanga wasio na uwezo kwenye hiphop…
kimziki wananiita Paul oops …have been working at b records material tabata segerea na chizn brain,… nishafanya beats na couple of artists wakubwa humu nchini, moja ngoma ambayo zimefanya vizuri ni no bifu ya marehemu mngwea ft tid.. na ambazo zipo kwa sasa ni pamoja na leo ya mwasiti ft godzilla na no love ya mdplant ft mrap na country boy…
Lengo la kufanya hii beatstape kwanza ni kuwapa artists ambao hawajiwezi nafasi maana si kila msanii wa hiphop atamudu kiwango cha kurekodi tofauti na wanaoimba coz wao udhamini wao unakua mkubwa na soko lao linaeleweka, same goes to hiphop lakini imekua kwa bidii sana ya msanii mpaka kufikia nia yake, hivyo niliamua kukaa na kwasababu i can create zaidi ya beats kumi kwa siku kwanini basi nisiwasaidie hawa jamaa na kuwapa nguvu na kuepuka utumiaji wa beats za watu wakati they can get a fresh sound toka kwa maprodyuza wa nyumbani,..thanks Mkito hili zoezi limekua rahisi hivyo any hiphop artists anaweza pakua beats kwa link hii https://mkito.com/artist-profile/loopsonthebeats/7190
You may also like; DOWNLOAD: Barnaba Ft. Mbosso – Hunitaki