ALSO READ;
Today we have a Tanzanian recording artist and WCB Wasafi all time hit maker,Diamond Platnumz.
He officially released this song titled ‘Moyo Wangu’ in 2013 which turned out to be a hit song at those days until now.
Lyrics
”Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee (×2) ah ah ah

Upole wawangu simanzi eeh kwangu kupenda maradhi eeh
Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sinaa
Jichoni kwangu kibanzi eeh ninakapenda kamanzi eeh
Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sinaa
Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu) unatazama mengi yanayonipa mateso…..”