Home News Msiba, Watu zaidi ya 40 wamefariki kwa ajali

Msiba, Watu zaidi ya 40 wamefariki kwa ajali

Habari zilizotufikia kutoka Mafinga Iringa ni kwamba watu zaidi ya arobaini wamefariki kufuatia basi la Majinja  walilokuwa wanasafiria kutoka Mbeya kwenda Dar kugongana na Lori na hatimaye basi hilo kufunikwa na Kontena hilo. Taarifa zaidi tutawaletea

Previous articleNew AUDIO | Godzilla – Nobody | Download
Next articleNew AUDIO | Linex Ft Diamond – Salima | Download