ALSO READ;
Mpate Dj Haazu Live katika Positive Mood Radio 5 Arusha
By @djhaazu It’s Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ
FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event
Organizer and IT Tech
kwa Maamuzi yangu Mwenyewe bila kushinikizwa na Mtu.Ahsanteni
wasikilizaji wangu, Wasanii wote tuloshirikiana na Ahsante kwa
Management na Wafanyakazi wote wa MJ FM Tutazidi kushirikiana Inshaalah.
LEO NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea
Radio 5 FM frequencies:
Arusha 105.7fm
Dar 91. 3Fm
Mwanza 92.5fm
Mbeya 93.8fm
Dodoma 88.6fm
Morogoro 94.8fm
Tanga 98.9fm
Mtwara 94.5fm
Kigoma 87.7fm
You may also like; DOWNLOAD: G Nako – Tusipangiane ft. Rayvanny