ALSO READ;
Mash J Mperampera atembeza bakuri mtandaoni
Mwanamuziki wa hip Hop toka mkoani Morogro na ht maker wa wimbo wa
Mperampera Mas J, ameamua kutembeza bakuri kwa wadau wa mziki akiwaomba
wamchangie katika kufanikisha Video yake mpya. Akiandika katika ukurasa
wake wa facebook na kuthibitisha Mas J amesema ameamua kufanya maamuzi
hayo baada ya mambo kuwa magumu kw aupande wake.
Mas
J ambaye pia hivi karibuni aliachia wimbo mpya unaoitwa Kura yangu
amesema Video anayotaka kiutoa hivi karibuni ni wimbo ambao amefanya na
mwana hip Hop mwenzie toka jijini Dar es Salaam Darassa.
J ambaye pia hivi karibuni aliachia wimbo mpya unaoitwa Kura yangu
amesema Video anayotaka kiutoa hivi karibuni ni wimbo ambao amefanya na
mwana hip Hop mwenzie toka jijini Dar es Salaam Darassa.
Mash J ameandika haya
Kama umeguswa na hili kwa mwana harakati huyu basi ungana naye kwa kumchangia japo kidogo ulichojaaliwa.
Namba ni 0712974079(Tigo pesa)