AUDIO | Marioo – Siwezi | Download Mp3
Marioo – Siwezi Lyrics
…..
oooh I know that
you deserve some more
anything that you’re babe
you should let me know
you know that
ukinitenda utaniumiza roho
mana si unajua we kipenda roho
kuwe Kuna mvua jua
we Baki hapa Kandi yangu
iwe shibe njaa Basi Nile nawe
Kam Kuna huzun karaha
we ndo faraja yangu
siku za furaha naenjoy nawe
why why why nikulize
why why why nikuumize
why why why nikulize
why why why nikuumize
siwezi kukuacha
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
siwazi kuachana
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
eeeh
umenifanya niwaze ningeiwezaj dunia
bila uwepo wako aaaah
umefanya nijiulize
ningeenjoy hii dunia nisingekuwa wako
aaah aaah
you’re the one have been waiting for
asali ya moyo wangu
faraja yangu iliyomo kweny ini yako
why why why nikulize
why why why nikuumize
why why why nikulize
why why why nikuumize
siwezi kukuacha
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
siwazi kuachana
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
eeeeh
Related; Marioo – My Life (Mp3 Download)