AUDIO | Marioo – Only You ft. Jux | Mp3 Download
Marioo – Only You Lyrics ft. Jux
aaaah
ikitokea sijalala
nimekosa usingiz
hat hamu ya kula Sina
ikitokea Nina Aman
moyon na Aman
mpak hamu ya kula Sina
talk to me my love talk to me
your love everything to me
Yani dawa
your the only one for me
we ndo tamu ya mie
chochote we nambie ni sawa (sawa)
vitu vyote vizuri kwenye hii dunia
wabaki navyo
waniachie wewe my wangu(my wangu)
wapo weng wazur kweny hii dunia
Ila siwataki
ulie kweny moyo wangu only you
CHORUS
only you
only you
only you
we ndo ninae kupenda
only you
oooh ohhhh
hata waseme umeniroga
kwangu me Sion mbaya
vile nimepagawa kwako wee
Kama umeniroga
acha waseme me muoga
bado sioni mbaya
nahofia bila we baby umeniroga
uuuuh mama moyo wang mteke
usiniache mpweke
utaniumiza
uuuuh mama moyo wangu mteke
usiniache mpweke
utaniumiza
vitu vyote vizuri kwenye hii dunia
wabaki navyo
waniachie wew my wangu (my wangu)
wako wengi wazur kweny hii dunia
Ila siwataki
uliendan ya moyo wangu only you
CHORUS
only you
only you
only you
we ndo ninae kupenda
only you
Related; (AUDIO) Marioo – Mapenzi Mp3 Download