AUDIO | Marioo – Mwagia Ndani ft. Robot Boii, Native Deep & Tin Starkid | Mp3 Download
Marioo – Mwagia Ndani Lyrics ft. Robot Boii, Native Deep & Tin Starkid
mmmh bad ayeeee
shiiiiiiii
aah ah sheimbembe
tumebarikiwaa tumejipata
tumetoboa bila kodi tumejipata
tumefanikiwa tumejipata
tumeridhika na amaisha tumejipata
sisi hapa watoto wa baba hatunaga mbambamba
sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga kanganga
sisi hapa watoto wa baba ahatuna mbambamba
sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga ndandanda
tuna muogopa mungu pekee 3x )
sio wew sio yule sio kifo sio njaaa wala majukumu
ndomana
tunamwagia ndani
mmmh
mwagia ndanni
mmmh
tunamwagia ndani
mmmh
mwagia ndani
mmmh
tunamwagia ndani
mmmmh
mwagia ndani
Related; (AUDIO) Marioo – Anisamehe ft. Rayvanny Mp3 Download