Home Music (AUDIO) Marioo – Mapenzi Mp3 Download

(AUDIO) Marioo – Mapenzi Mp3 Download

Marioo - Mapenzi

AUDIO | Marioo – Mapenzi | Mp3 Download


Marioo – Mapenzi Lyrics

Sinywagi mitungii
Eeh sivuti mafegi
Silagi mpepe
Ooh sina kilevi
Aah chukua gari langu kagonge kagonge
Nitapeleka kwa fundi itarudi mpya
Chukua mali zangu zishombe zishombe
Ila kwa baby wangu utarudi kibogoyo
Ooh jamni ninawivu napenda mapenzi napenda kupendwa ooh lalila lala

Ata mkisikia nimejinyonga basi mjue yameninyonga
Mkisikia nimejiuwa basi mjue yemeniua mapenzi
Ooh mapenzi ooh mapenzi mapenzi ah
Kama mapenzi ni pesa basi sio shilingi
Yanani yanani ah
Kama mapenzi show kali afu sio kitandani
Asa mapenzi ndo nini
Nambona nayapendaa
Hakuna raha hakuna raha
Kama kuitwa jina la mpenzi na mpenzi nyie
Hakuna raha hakuna raha

Kama kuliliwa na mpenzi kimapenzi nyie aah
Ooh jamni ninawivu napenda mapenzi napenda kupendwa ooh lalila lala
Ata mkisikia nimejinyonga basi mjue yameninyonga
Mkisikia nimejiuwa basi mjue yemeniua mapenzi
Ooh mapenzi

Related; (AUDIO) Marioo – Lonely ft. Loui & Abbah Mp3 Download

Previous article(AUDIO) Marioo – Lonely ft. Loui & Abbah Mp3 Download
Next article(AUDIO) Marioo – Only You ft. Jux Mp3 Download