Home Music (AUDIO) Marioo – Anisamehe ft. Rayvanny Mp3 Download

(AUDIO) Marioo – Anisamehe ft. Rayvanny Mp3 Download

(AUDIO) Marioo - Anisamehe ft. Rayvanny Mp3 Download

AUDIO | Marioo – Anisamehe ft. Rayvanny | Mp3 Download

Marioo – Anisamehe Lyrics ft. Rayvanny

vanny boooy

mwenzake nimeteleza
kunihukumu ananionea
mwenzake nimeteleza
ananikukumu ananionea
aaah nmemzoea
na siwezi kuishi bila yeye
aaah ye ndo nampenda
sijiwezi mama nakufa

Basi mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe

vanny boooy
sura nzur atabasamu
ukimuon hapendez
na makosa yetu wanadamu
pekeang siwezi
uuuyeee
nalewa nakesha
aniokoe kabla cjawa Malaya
nalewa nakesha Mimi
aniokoe kabla cjawa Malaya

Basi mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mwambieni anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe

nenda kamwambie babe
ninataka Tena alichonipaga
nenda kamwambie babe
anikune Tena anaponikunaga
chuuiii

Related; (AUDIO) Marioo – I Miss ft. Alikiba Mp3 Download

Previous article(AUDIO) Marioo – I Miss ft. Alikiba Mp3 Download
Next article(AUDIO) Marioo – Mwagia Ndani Mp3 Download