Home AUDIO DOWNLOAD: Kusah – Shemeji Yenu

DOWNLOAD: Kusah – Shemeji Yenu

Kusah - On Fire (Nakukunda)

Kusah – Shemeji Yenu Download Mp3

Lyrics
Shemeji Yenu – Kusah

dopa beat
jirani oooh jirani
kwani ukipenda inakuwaje
maana jaman oooh jaman
minakuwaga chizi mujinga kabisa
mwenzako mimi nikipenda kabla ya chakula natokwaga na udenda
naeijui kusarenda yyani king’ata ndio nazid kukupenda
naninakinyongo wivu umejaa
mimi sina dogo
Mbura vila nimitaa
nawakisema nikicheche eeeee
anacho nipa sijaona aaaaaah
sitojaribu nimtete eeeeh
anachonipa sijaona baby
Ndio shemeji yenu
shemeji yenu
hata mumtetee
ndio shemeji yenu
shemeji yenu huyoo
ndio wapekee pekee
shemeji yenu
shemeji yenu huyoo
kwake nimesha zama kina
ñdio shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Nimezama mazimaa
Nazishika nazibeba rawama huyoo
ataniua huyu mtoto wa mama mkwe
chombo imetawala bahari
maneno wala mm sijali
nataka nifiche mm twende mbali
niwe wakwake peke yake tu
simnasema nacheat
mwenzenu siamin
utamu wa kijiti ukuchome chini
aki mmi na yeye mashahid wa nini
maana nikwel tumekula ya nini

nawakisema nikicheche eeeee
anacho nipa sijaona aaaaaah
sitojaribu nimtete eeeeh
anachonipa sijaona baby
Ndio shemeji yenu
shemeji yenu
hata mumtetee
ndio shemeji yenu
shemeji yenu huyoo
ndio wapekee pekee
shemeji yenu
shemeji yenu huyoo
kwake nimesha zama kina
ñdio shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Nimezama mazimaa

Previous articleDOWNLOAD: Kusah Ft. Johnny Drille – Magical
Next articleDOWNLOAD: Kusah Ft. Femi One – Jimwage