Kusah sanamu lako likajengwe posta | Mp3 Download
QUOTABLE LYRICS
Sanamu lako likajengwe posta ama
Niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama
Ama nifanyeje
Jamani penzi lake pombe nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya umenielewa
Ila kama hujui ndo utachelewa
Related; DOWNLOAD: Kusah – On Fire (Nakukunda)