Home AUDIO DOWNLOAD: Kusah – On Fire (Nakukunda)

DOWNLOAD: Kusah – On Fire (Nakukunda)

Kusah – On Fire (Nakukunda) Download Mp3

Lyrics

On Fire (Nakukunda) – Kusah
uuuh yeeee
uuuuuuh baby
mmmh
it’s good daddy
Kama ni ndumba
Baby umenifanya kama punda
Mzigo ninabeba na ninadunda
naenjoy
Walay umenifunga
mapigo ya moyo yananifunda
kama ni sindano umenidunga
mie hoii
mmmmh
Sanamu lako likajengwe posta awa
niende kwenu nikatoe posa awa
Nifanye vitu wanione ndondocha awa
Ama nifanyeje
jaman penzi lake pombe nimelewa
nayumba nashindwa kujielewa
kama unayajua hayo nimelewa
kkama uyajui hayo bas nimechelewa
nakuuu nakukunda
your love is on fire
nakuuu nakukunda
your love is on fire
kadi ya wote hao
ninampa mmoja mm nkwambia
umepita wote hao ooh baby
thaman yako wewe
thaman yako zaid ya rupia
hawakuwezi haoo
oooh darl
labda nikwambie kwamba
mm ni nyoka umenivua gamba
mm kwako naanzaje kutamba
ssasa naanzaje baby
navile unanivuta nafsi inanisuta
mi unanikoshaga
nakule unanivusha nimeweka nukta
mi nimefikaga
Sanamu lako likajengwe posta awa
niende kwenu nikatoe posa awa
Nifanye vitu wanione ndondocha awa
Ama nifanyeje
jaman penzi lake pombe nimelewa
nayumba nashindwa kujielewa
kama unayajua hayo nimelewa
kkama uyajui hayo bas nimechelewa
nakuuu nakukunda sing again
your love is on fire
nakuuu nakukunda sing again
your love is on fire
nakuuu nakukunda sing again
your love is on fire
nakuuu nakukunda sing again
your love is on fire
Previous articleDOWNLOAD: Hamadai – Maputo
Next articleDOWNLOAD: Kusah – Utaniua