Home AUDIO DOWNLOAD: Kusah Ft. Femi One – Jimwage

DOWNLOAD: Kusah Ft. Femi One – Jimwage

Kusah Ft. Femi One – Jimwage Download Mp3

Lyrics
Jimwage ft. Femi One – Kusah

kana vichuchu na kashepu kakuchora
nyuma mzigo kamefungasha dondora
kana mapigo rta ola sinderela
katanifanya nitazamwe ninahera
katanifanya nitakua zuzu
hata sijui nimepigwa juju
yyani kabisa kanifanya bubu
ujanja wangu kwake nimetubu
body lako umeziba skin color
watu unafanya unafanya unakera
uvae jeans
uvae skeen
au uvae dera
watu unafanya unafanya unakera
uzunguke waninyonga katazo ushuke mpaka chini
Baby go down low
tuvunje kitanda
tuchane mito
maaaaaah
jimooo
jimwage
jimoooo
jimwage
jimoooo
jimwage
aya fanya kama unaifata fata
jimwage
jimoooo
jimwage
jimoooo
jimwage
jimoooo
jimwage
Aya fanya kama unaifata fata
jimwage
ayayai babby
mtoto wa watu ananikunywa bila chesa
kana kata sinachi kile kitu kameweza
yuko Safi safi hensam nabizi na mapesa
gentleman pekee ndio mi nadai
kkama ni bad boy namshow yes hayo ma chai
we ni show vile unafeel sipendi mahai
pusha siunajua already am like vibe
na i like style napenda hiyo corona
niko na space ya mtu mmoja ingia kwa roho
shika cheche weka number kwenye phone
reta tukutane twende kwenye choo me anf you alone
tusakate
nikupakate
nikupe macho halafu unipe mate
na vinote na vile uko daste
nipo na wangu so kila mtu na Wake
uzunguke waninyonga katazo ushuke mpaka chini
Baby go down low
tuvunje kitanda
tuchane mito
maaaaaah
jimooo
jimwage
jimoooo
jimwage
jimoooo
jimwage
aya fanya kama unaifata fata
jimwage
jimoooo
jimwage
jimoooo
jimwage
jimoooo
jimwage
Aya fanya kama unaifata fata
jimwage

Previous articleDOWNLOAD: Kusah – Shemeji Yenu
Next articleVIDEO: Nay Wa Mitego – Sherehe