Home Music Kontawa – Champion Remix Lyrics ft. Harmonize

Kontawa – Champion Remix Lyrics ft. Harmonize

Kontawa - Champion Remix Lyrics ft. Harmonize

Kontawa – Champion Remix Lyrics ft. Harmonize

Awee am the winner
Am the champion
Awee am the winner
Am the champion
Mi nimezaliwa mtwara
huko ndani ndani chitohori nalendere
Pengine ata bibi angu na babu bado wanajua rais nyerere
Huko kwetu machawa wapo tena wakikung’ata wanakuacha na vipere
Na sio machawa wa mjini hadi mtoto wakike wanamuonea gere
Men! sikumbuki kama mungu nishamuomba utajiri
Ila kanipa kwasababu nastahiri
Busara kwangu ni jambo la siri
So sishangai wakinitangaza ubahiri
Nimetoboa mbele mkubwa na talee
Kipara na saki wa tandale
Sikuhizi sio zama za kale
Muziki upo huru kama kambi ya kambale
Piga mziki tumebaki wawili
Haikua riziki wanangu cheed na killy
My sister angellah wamemshika akili
Waambie kondegang ni jeshi la mtu mbili
Awee am the winner (am the winner now)
Am the champion (champion champion)
Awee am the winner
Am the champion

AUDIO | Kontawa Ft Harmonize – Champion Remix | Mp3

Tumeishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa mungu kuna mkono wa mtu
Tumeishi na watu wanao amini sikukuu ndo siku yakuchinja kuku (oya we)
Tumeishi na watu wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku
Tukaishi na watu ambao wanaoamini kwamba bahati bahati zote alipangiwa bukuku
Hapo mwanzoni waliamin hatutopata mafanikio
Waliotufagilia wakauza mafagio
Eeh Mtaani kwetu sio
Mtu alietoboa sana alitoboa sikio
Chumba kimoja wanalala dada na kaka
Watu hawatupi msosi ata ukichacha
Baba jambazi mtoto anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumbani atabaki nani
Awee am the winner
Am the champion
Champion champion
Awee am the winner
Am the champon

Related; AUDIO | Kontawa Ft Nay Wa Mitego – Champion | Mp3

Previous articleDOWNLOAD: MABANTU – UNAPUNGUZA UTAMU
Next articleAUDIO | D voice & Mp Wona – Shingapi | Download