Harmonize has come out strongly criticizing Paula’s immoral video with Rayvanny in the car, blaming the WCB artist for his act.
Via his Instagram page, this afternoon Harmonize has written,
“(RAY) MY YOUNG BROTHER AND 💙 Yafuatayo Sitoyasema Kama Mimi ni Mzazi wa Paula no Naandika Kama Mzazi Nilie na Mtoto wa Kike (ZUREKHA) Lakini Pia Kama Msani Mwenzio (RAY ) Najiuliza tuu..!!
”Ulipata wapi Ujasiri Huu Wa Kutembea na Mwanafunzi Wa Kidato Cha (5) Wakati ni Wazi Yakwamba ni Kosa La Jinai, Hukumu Yake Sio Chini Ya Miaka 30 Lakini Pia Isitoshe Una RECORD na Video Ukiwa Una KISS Yani Unaonyesha Kwamba Serikali Haiwezi Kukufanya Kitu Nawaza Lengo Lilikuwa ni Kuonyesha Kwamba Upo Juu Ya Sheria?
Hebu Angalia Future Ya Mtoto Wawatu Umeiweka wapi Kwa Tamaa Za Siku 1 Kama kweli Mlikuwa mnapendana MKO IN LOVE Video ilikuwa na Haja Gani And Lengo La Kuvujisha nini..? LAKINI PIA SERIKALI itajiuliza Una VIDEO Ngapi Za Watoto wa shule Kama Umeweza Kuwa na hii Na Ukaivujisha? Je Uliwaza Wasichana wa Rika Lake ambao Walikuwa Mashabiki Zako Watafurahishwa na Hichi Kitendo Cha Kinyama? Maana Kama Leo Umemfanyia Mwenzao Ni wazi Kesho Utawafanyia Wao!
Huoni kama Umewapoteza Mashabiki imara…!!! Wataipata wapi Nguvu Ya Kujirecord Ngoma Zako na Kupost ikiwa Umemzalilisha Msichana mwenzao Mdogo (KINGONO )? Je kuhusu wazazi wenye Watoto Wakike Watakutazama Sura Gani? Usisahau Kuna Vijana wenzio Ambao wana wadogo Zao Wakike Watakuonaje?
Kwanini Usiendelee Kuimba Muziki tuu Huihitaji Kujiingiza Katika Kuhatalisha maisha Yako Kama Hivi. Tazama mifano Ya Wasani Wakubwa Akina R KELLY Mpaka Leo wana Sota Ndani Kwajili Ya Mambo Hizi za watoto Wa (Shule) Kama Tatizo Lilikuwa Ni Mimi Kumpenda Mama Yake (P) Na watu wengi wakavutiwa Na sisi si Ungetafuta Mkubwa Mwenzio Why ( MWANAFUNZI) tena wa Miaka Hii Ya (JPM) SERIKALI YA LEO IPO MACHO SANAAA MAANA WATENDAJI WENGI NI VIJANA JE WATAKUBALIANA NA HILI ”
This comes after the trending video showing Rayvanny spending his Valentines Day with Paula Kajala, who is a student in high-school.
ALSO READ;