Msanii Mchizi Mox awaponda ma DJ wapya akisema wengi wao hawana nizamu afunguka ayo kupitia kipindi cha Exposure sikiliza kujua mengi zaidi
Kipindi iki kinaitwa EXPOSURE ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media kipindi hiki ni cha kiburudani kitakacho kuwa kinachambua mazuri na mabaya yaliyopo kwenye sanaa na tutakuwa tukipiga stotry na wasanii mbali mbali na leo ndani ya studio yupo msanii Mchizi Mox usiache kusikiliza kupitia website yetu hii na zile website rafiki kama www.bekaboy.com na www.africanmishe.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki kuwasiliana nasi kwa no +255714903603