Home Latest Music and Tanzania songs Audio: Sikiliza kipindi cha ‘EXPOSURE’ kikiwa na Best Nasso

Audio: Sikiliza kipindi cha ‘EXPOSURE’ kikiwa na Best Nasso

Sikiliza kipindi chako cha Exposure upate kusikiliza kisa cha Msanii Best Nasso kukamatwa na kuwekwa ndani kwa wizi wa vifaa vya studio.

Kipindi iki kinaitwa EXPOSURE ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media kipindi hiki ni cha kiburudani kitakacho kuwa kinachambua mazuri na mabaya yaliyopo kwenye sanaa na tutakuwa tukipiga stotry na wasanii mbali mbali na leo ndani ya studio yupo msanii Best Nasso usiache kusikiliza kupitia website yetu hii na zile website rafiki kama www.bekaboy.com na www.africanmishe.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki kuwasiliana nasi kwa no +255714903603
Previous articlePeter Msechu & Banana Zoro – Mama (Official Video) | Download Mp4
Next articleIzzo Bizness & Abela Music – Dangerous Boy (Official Video) | Download Mp4