Home Timeless Hits OLD BONGO FLEVA | Daz Nundaz – KAMANDA

OLD BONGO FLEVA | Daz Nundaz – KAMANDA

Daz Nundaz – KAMANDA
Daz Nundaz – KAMANDA
Daz Nundaz, the Dar es Salaam, Tanzania based bongo flava group formed in the mid-nineties by five members, Ferooz, Daz Baba, Critic, La Rumba, and Sajo.
Daz Nundaz Ni moja ya makundi yaliyoiweka ramani ya bongo fleva dunia ieleweke na wengi.
Walitamba sana enzi hizo na ndio kati ya makundi yaliyovuma sana bongo na kufungua milango ya bongo fleva. Leo tunakuletea kati ya nyimbo zilizovuma sana miaka hiyo.
Download, listen and share the old bongo fleva song titled KAMANDA by DAZ NUNDAZ

Download Daz Nundaz Kamanda