Home News Ideas 5 za kuanzisha YouTube Channel 2020

Ideas 5 za kuanzisha YouTube Channel 2020

Ideas 5 za kuanzisha YouTube Channel 2020
Ideas 5 za kuanzisha YouTube Channel 2020

Nafahamu kuna ambao wanafikilia kuanzisha YouTube Channel, Lakini wanafikiria sana waangazie Maudhui ya aina gani. Kwa kutambua hilo katika video hii nimeelezea Ideas (Mawazo) 5 za kuanzisha Channel ya YouTube. Mawazo hayo ni yale ambayo yamekuwa na wafuatiliaji wengi katika Mtandao huu. Ambayo ni
1. PRODUCT REVIEW (Uchambuzi Bidhaa)
2. GAMING (Michezo ya gemu)
3. TUTORIALS (Mafunzo)
4. STORYTELLING (Simulizi)
5. VIDEO BLOGGING (Vlog)

Haya ni baadhi tu ya mambo, ila yapo mengi zaidi, cha msingi ni wewe kufanya utafiti na kujua lipi unaweza kufanya kwa uwezo wako wote.