Home News Camera lens Kwa Beginner Photographer na Videographer Muhimu kuanza nazo

Camera lens Kwa Beginner Photographer na Videographer Muhimu kuanza nazo

Camera lens Kwa Beginner Photographer na Videographer Muhimu kuanza nazo
Camera lens Kwa Beginner Photographer na Videographer Muhimu kuanza nazo

Kati video hii nimeelezea Camera lens Kwa Beginner Photographer na Videographer Muhimu kuanza nazo. Haijarishi unatumia Camera ya aina gani ila ni muhimu kuwa na lens katika makundi haya
1. Wide lens, Mfamo (10 – 18mm, 17mm – 35mm)
2. Just Wide mfano ( 25mm, 50mm, 60mm)
3. Telephoto lens Mfano (70 -200mm. 100 – 300mm)

Natumaini utakuwa umejifunza kitu,