Home Music TAFADHALI UPDATE JohVenture App Version 1.0.2

TAFADHALI UPDATE JohVenture App Version 1.0.2

TAFADHALI UPDATE JohVenture App Version 1.0.2
TAFADHALI UPDATE JohVenture App Version 1.0.2
Tafadhali kama una App yetu ya Joh Venture App Tumeboresha Upande Wa Notification/Taarifa Pamoja na RADIO 35+ Live(BURE)
>Nenda Play Store , Tafuta “Joh Venture” Kisha Bonyeza Install au Bonyeza Update.
Baada ya App kumaliza Ku-update/ Ku-install fungua App na utaona Tayari Nyimbo Zimekuja…
Pia Kwa Sasa Utaweza Kupata Taarifa/Notifications Pindi tu Tutakapoweka Nyimbo Mpya ZOTE.
Pia utaweza kutafta(Search) nyimbo zote za Sasa na za Zamani Kwenye Application ya Joh Venture
Kuskiliza Zaidi ya RADIO 35+ Live(BURE).
Asante Kwa Kuchagua JohVenture App kama Appication yako ya Burudani.
Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBONYEZA HAPA