Home Uncategorized Audio: Sikiliza show ya burudani ya mtandaoni ‘BLOG PREVIEW’

Audio: Sikiliza show ya burudani ya mtandaoni ‘BLOG PREVIEW’

Ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media Kipindi hiki kitakua kinatoka kila siku ya jumamosi ni kipindi kinacho kukusanyia habari mbali mbali zilizo tokea ndani na nje ya nchi. Kipindi hiki kitakua kinaonekana kupitia website yetu hii na zile website rafiki kama www.bekaboy.com na  www.africanmishe.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki kuwasiliana nasi kwa no +255714903603 DOWNLOAD AUDIO