Home Uncategorized Sikiliza Kipindi cha ‘EXPOSURE’ leo kimekuja kivingine kabisa ni noma!!

Sikiliza Kipindi cha ‘EXPOSURE’ leo kimekuja kivingine kabisa ni noma!!

0
Kipindi iki kinaitwa EXPOSURE ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media kipindi hiki ni cha kiburudani kitakacho kuwa kinachambua mazuri na mabaya yaliyopo kwenye sanaa na tutakuwa tukipiga stotry na wasanii mbali mbali usiache kusikiliza kupitia website yetu hii ya www.JohVeturetz.com na zile website rafiki kama www.bekaboy.com na www.africanmishe.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki kuwasiliana nasi kwa no +255714903603
https://my.notjustok.com/track/download/id/105518/by/oiNHDqPy_u