Home Uncategorized Ibrahnation – Nilipize | Lyrics/Mashairi

Ibrahnation – Nilipize | Lyrics/Mashairi

0
[Verse 1]
Hivi kweli unakumbuka hata kujuta
Kwa ulionifanyia?
Moyoni uliguswa au ulipuuza
Na hautaki nisikia?
Hata kutuma ujumbe mfupi tu, my darling
Unikosee wewe niombe msamaha mimi, yeah

[Pre-Chorus]
Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma
Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena
Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma
Nataka kuwa nawe mamito
Nataka kuwa nawe

[Chorus]
Ningesema nilipize woh
Mabaya yako nikuumize
Nawe uumie
Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako

[Verse 2]
Ungenifikiria hata mara moja
Japo hauna hisia nami
Nidanganye hata kwa ngoja ngoja nitasubiri
Ulikubali kwa moyo mmoja kuyajenga maisha nami
Nieleze ni wapi nlipoteleza nisiumie

[Pre-Chorus]
Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma
Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena
Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma
Nataka kuwa nawe mamito
Nataka kuwa nawe

[Chorus]
Ningesema nilipize woh
Mabaya yako nikuumize
Nawe uumie
Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako

[Bridge]
Kama ningelipa unayontenda ungeshaumia
Sitamani maumivu nayopata yaje kwako pia
Namuachia Mola anilipie
Anionyeshe fungu langu mie

[Chorus]
Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako
Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa
Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako

Moyo wangu
Moyo wako
(Ema The Boy on the beat)
Facebook Comments