Home Uncategorized Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015

Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015

0

Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iiyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015.

Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.