Home Uncategorized P The Mc Ft. Jux – Na Mimi | Lyrics/Mashairi

P The Mc Ft. Jux – Na Mimi | Lyrics/Mashairi

0
[Verse 1 – P The MC]
Heyo shori, alidai mtoko na mimi
Mradi aonekane kila chocho na mimi
Club, cinema au beach Coco na mimi
Ili mradi tu nae karuka kopo na mimi
Nikamwambia “sina mkoko lakini
Uko tayari kutembea kwa ngoko na mimi?”
Akijibu yuko radhi awe kushoto ya mimi
Kwenye raha na pia kwenye misoto na mimi
Kaja ghetto kula ukoko na mimi
Usiku kalala fofofo na mimi
Kanikumbatia aote ndoto na mimi
Nimpige mikasi ili azae mtoto na mimi
Hajaleta shobo na mimi
Yupo cool na hapendi chokochoko na mimi
Kila night anakesha kama popo na mimi
Watu wanadai yeye ndo kiboko ya mimi
[Chorus – Jux]
Niking’aa anang’aa, nikivaa anavaa
Logo moja na mimi
Kwenye shida, kwenye raha
Baby, yuko yeye na mimi
Tushashinda sana njaa ndani, akalala na mimi
Anapendwa na wengi, ila ye ananipenda mimi
[Bridge – Jux]
Nasema tena oo weo oh
Aah, ananipenda mimi
Oh weo oh, atazaa na mimi darling
Oh weo oh, nanana, nananaa
Oh weo oh, anapendwa na mimi
[Verse 2 – P The MC]
Hapendi niwe mbali kila docho na mimi
(Shop, shop), hadi kwenye masoko na mimi
Studio, hadi chumba cha vocal na mimi
Kwenye rapper anamuelewaga Moko na mimi
Usiombe apige photo na mimi
Utasema P ameng’oa mtoto makini
Akitembea demu ana miondoko sabini
Tena urefu wa kutosha, sa kokoko za nini?!
Jumapili ye ni Gospel na mimi
Akilewa kanywa Dompo na mimi
Kipindi cha baridi ama joto na mimi
Nikisepa anakuwa na alosto na mimi
Nikishinda home, mtoto na mimi
Furaha utasema kashinda lotto na mimi
Kila night anakesha kama popo na mimi
Watu wanadai yeye ndio kiboko wa mimi
Halla!
[Chorus – Jux]
Niking’aa anang’aa, nikivaa anavaa
Logo moja na mimi
Kwenye shida, kwenye raha
Baby, yuko yeye na mimi
Tushashinda sana njaa ndani, akalala na mimi
Anapendwa na wengi, ila ye ananipenda mimi
[Bridge – Jux]
Nasema tena oo weo
Ananipenda mimi
Oh weo oh, nampenda yeye
Oh weo oh, yuko, yuko, yuko
Oh weo oh, yuko na mimi
[Outro – Jux & V Money]
Mi nasema tena oh weo oh
Simuachi baby
Oh weo oh, atabaki, atabaki na mimi
Oh weo oh…
Oh weo oh…
Ananipenda mimi!

Facebook Comments