Home Uncategorized NEWS: Msanii BEST NASSO kuja na mkwaju mpya.

NEWS: Msanii BEST NASSO kuja na mkwaju mpya.

0

Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya
Kulevya. Hatimae amewazilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za
kweli, Na anatarajia kuachia bonge moja la wimbo.
 

Wimbo uitwao “RUMBA” ni Audio Pamoja na Video, Amesema wimbo huo
Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia Jumamosi Tarehe
12 mwezi wa 12 ambayo ni siku yake Ya Kuzaliwa.

Facebook Comments