Home Uncategorized New Audio | Brai – Deka | Download/Listen

New Audio | Brai – Deka | Download/Listen

0

Mwana
muziki wa kizazi kipya na chipukizi toka mkoani Morogoro Abrah Yanguga
maarufu kwa jina la Brai, ameachia wimbo wake mpya kabisa unaoitwa Deka.
Wimbo huo uliofanyika katika studio za Pure Record chini ya
mtayarishaji Dizzi Mchizi, tayari umeshaazna kusikika katika maeneo
mbalimbali na baazi ya vituo Vya Radio 

Sikiliza na Download hapa

Facebook Comments