Home Uncategorized Official Video HD | Yamoto Band – Nisambazie Raha

Official Video HD | Yamoto Band – Nisambazie Raha

0

Video Mpya kutoka kwa Yamoto Band Wimbo unaitwa Nisambazie Raha, Video Hii imefanyika Hapa Nyumbani Tanzania na Dir Isangi Mental.

Jumatatu Yamoto Band watakwea Pipa Kuelekea S.A kwenda kufanya Video ya wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido na Dir Godfadher.

Facebook Comments