Home Uncategorized HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO Za KILI MUSIC AWARDS 2015 #KTMA2015

HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO Za KILI MUSIC AWARDS 2015 #KTMA2015

0

Ushindani ulikuwa mkubwa sana katika vipengere vyote vilivyowaniwa na wasanii hata makundi mbalimbali ya muziki tanzania na afrika mashariki.

Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubisi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.

Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.
KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA)

YA MOTO BANDKUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)

JAHAZI MORDEN TAARABMWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)

JOSE MARAMWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU)

ISHA MASHAUZIWIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA)

MWANA(Alikiba)WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)

WALE WALE(Fm Academia)
MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)

MZEE YUSUPHWIMBO BORA WA RNB

SISIKII(Jux)MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)

VANESSA MDEEMWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA)

ALI KIBAMTUMBUIZAJI BORA WA KIKE

VANESSA MDEEMTUMBUIZAJI BORA WA KIUME

ALI KIBAWIMBO BORA WA HIP HOP

KIPI SIJASIKIA(PROF JAY)WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL

LET THEM KNOW(Maua)RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)

FEGASONMSANII BORA WA HIP HOP

JOH MAKINIWIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI

SURA YAKO (Sauti Sol)MTUNZI BORA WA MWAKA (TAARABU)

MZEE YUSUPHMTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI)

JOSE MARAMTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP)

JOH MAKINIMTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA)

NAH REALMTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU)

ENRICOMTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI)

AMOROSVIDEO BORA YA MWAKA

MDOGO MDOGO(DIAMOND)WIMBO BORA WA AFRO POP

MWANA(AliKiba)WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA

NTAMPATA WAPI(Diamond)WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA

WAITE(Mrisho Mpoto)MSANII BORA CHIPUKIZI

BARAKA DA PRINCEWIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA

KIBOKO YANGU(Mwana FA feat Ali Kiba)BENDI BORA YA MWAKA

FM ACADEMIAMTUNZI BORA WA MWAKA

ALI KIBA

Facebook Comments