Home Uncategorized AUDIO | Diamond Platnumz X Nay Wa Mitego – Freestyle | Download

AUDIO | Diamond Platnumz X Nay Wa Mitego – Freestyle[Diss Kwa Wema&Walper] | Download

0
  

 Kama ulikosa kuhudhuria au kuangalia kilichojiri kwenye Zari White
Party, basi ulikosa kusikia na kutizama freestyle walioitoa Diamond na
Nay Wa Mitego walipopanda jukwaani.mambo yalikuwa hivi….

Diamond: kama mapenzi shilingi, mi nilitoa hadi morano nikakimbiwa, vinjonjo vingi, naona vyote nlivyonavyo nkakaziwa.

Nay: we unatoa morano wenzio wanatoa Benz

zaidi
 Download hapa chini usikie walichokuwa wakiimba kwa kubishana 

 

Facebook Comments