Home Uncategorized Wiz Khalifa anafikiri kufanya maamuzi magumu kwa Amber Rose, kisa ni mtoto..

Wiz Khalifa anafikiri kufanya maamuzi magumu kwa Amber Rose, kisa ni mtoto..

0
wiz
Wiz Khalifa na Amber Rose
walidumu kwenye uhusiano kwa mwaka mmoja tu tangu wafunge ndoa yao na
baadaye wakaachana, kila mmoja alitoa sababu kwamba mwenzake ndio
tatizo.
Wiz amesema anajipanga kumfunga mzazi mwenzake  huyo mashtaka ya kumtelekeza mtoto wao Sebastian kwa kushindwa kumpa matunzo mazuri kama mama.
family
Wiz amelalamika kuwa mtoto wake amekuwa akilelewa na ndugu zake kwa muda mwingi baada ya mama yake kuwa busy na mambo yake.