Home Uncategorized Wakazi Kasulu mkoani Kigoma washerehekea Valentine na Clouds

Wakazi Kasulu mkoani Kigoma washerehekea Valentine na Clouds

 
Leo
ikiwa ni siku ya Valentine day yaani ni siku ya wapendanao Kwa mara ya
kwanza kabisa, wakazi wa Kasulu mkoani Kigoma , wameanza kusikiliza 
matangazo ya kituo cha radio cha Clouds fm kwa masafa ya 89.3 FM.
 Clouds fm imeamua kufikisha masafa yake Kasulu, kutokana na matwaka na kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa kasulu.
 Akizungumza
na ubalozini.blogspot.com mkuu wa vipindi wa Clouds Fm, Sebastian
Maganga amesema , wamesikia kilio cha wakazi wa Kasulu na kwa kuwa
Clouds ni Radio ya watu hawana budi kuwatimizia kile wanachotaka. Clouds
Medi inazidi kupanuka siku hadi siku na ikiweka zamila ya kuwafikia
watu wote.
 Kasulu Location Map
Kwa
upande wao mkazi wa Kigoma Almas Mzambele amesema  kwa niaba ya wakazi
wa Kasulu waushukuruoumgozi wa Clouds media kwa kusikia kilio cha na
kuwatekelezea.