Home Uncategorized New AUDIO | 909 – Sikubali Kushindwa | Download

New AUDIO | 909 – Sikubali Kushindwa | Download

0

909 waja tena kwa nguvu na Wimbo huu usemao sikubali kushindwa, wasikika ndani ya Wimbo huu wakisema “I used to be a problem, now am the solution” Sikiliza ngoma hii na wewe upate matumaini na ni uhakika ukiisikiliza mara moja tu, “sikubali kushindwa” itakuwa slogan ya Maisha yako

Facebook Comments