Home Uncategorized Muimbaji wa ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usidharau Usiyemjua’ Side Boy afariki dunia.

Muimbaji wa ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usidharau Usiyemjua’ Side Boy afariki dunia.

0

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la (Side Boy Mnyamwezi) amefariki dunia.

Side Boy amefariki leo katika hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi.Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usimdharau
Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’

Facebook Comments