Home Uncategorized KAMA HUKUONA PICHA ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA, HUU WAKATI...

KAMA HUKUONA PICHA ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA, HUU WAKATI WAKO BASI

 Recho akifungua rasmi dimba la burudani.

 Shilole akiwadatisha mashabiki jukwaani.

Wasanii young killer (kushoto)na barnaba muda mfupi kabla ya kupaform

dj zerro akikamua kwenye one&2

 christian bella ‘mzee wa masauti akivuma ndani ya uwanja wa karume.

mkali wa hip hop roma akiliteka jukwaa

 recho na shilole wakiwa katika pozi.

stamina akifanya yake huko kwenu vp

young killer         akiwapa michano.