Home Music KAMA HUFAHAMU MISTARI YA WIMBO WA I DO WA DAYNA NYANGE...

KAMA HUFAHAMU MISTARI YA WIMBO WA I DO WA DAYNA NYANGE INGIA HAPA

LYRICS
VERS:1
Nahisi raha
Mpenzi wangu unanipa raha
Raha raha
Najihisi mwenye furaha
Napata raha
Mpenzi wangu unanipa raha
Raha raha
Najihisi mwenye furaha
Kinachonishangaza
Twapendana sie kwa nini uchukie
Vibaya wanitangaza
Hongera zawadi njoo uchukue
Nikupatie kipaza
Kwa sauti usema usikike
Baby kasha nikataza
Kaniambia nitulie
BRIDGE
I see it baby love on ur face
When you kiss me I fell so sweet×2
Chorus
I do ×5
I do baby
I do×5
Anything u want i do
I do ×5
I do baby
I do ×5
I know you love me baby i do
I do baby×4 I do
VERS: 2
Mapenzi nipeleke
Nipeleke kwa my boo
Mahaba nitawale nikampatie nafuu
Raha usiende mbali
Twende wote usiku huu
Ni usiku special mi na my boo
Ya zamani nimetupa kule
Nachojali niwe na wewe darling
Maana kale niliumizwa na wale
Walinitesa nakuniliza
Maana wale
Wale wale
Hawakujali pendo langu kipindi kile
CHORUS
I do×5
I do baby
I do×5
Anything u want i do
I do×5
I do baby
I do×5
I know you love me baby i do
I do bab×4> i do
Kinachonishangaza
Twapendana sie kwa nini uchukie
Vibaya wanitangaza
Hongera zawadi njoo uchukue
Nikupatie kipanza
Kwa sauti usema usikike
Baby kasha nikataza
Kaniambia nitulie
BRIDGE
I see it baby love on ur face
When you kiss me i fell so sweet×2
Chorus
I do×5
I do baby
I do×5
Anything u want i do
I do×5
I do baby
I do×5
I know you love me baby i do
I do bab×4> i do
Written by : dayna nyange
Produced : triss
Studio : conga music