Home Video Cheki kipande cha video ya Prokoto – Victoria Kimani ft Diamond &...

Cheki kipande cha video ya Prokoto – Victoria Kimani ft Diamond & Ommy Dimpoz

Victoria Kimani ameandika kwenye instagram kwamba anahesabu siku tu hadi
video hii itakapo toka rasmi. Video hii ilifanyika kwenye maeneo
mbalimbali ya Tanzania chini ya director mkenya Kevin Bosco.