Home Uncategorized Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili juu ya makala yake

Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili juu ya makala yake

0

 Baada ya Nikki wa Pili kusambaza makala yake aliyoipa jina “Kalamu ya
Nikki” yenye topic aliyoiita “Hiphop inavyoikwamisha Hiphop Tanzania“..
Nikki Mbishi (ambae siku zote amekuwa akiwa-challenge Weusi) amemjibu
Nikki juu ya makala hiyo 

Facebook Comments